A P e F

Usimamizi wa Amana

Usimamizi wa Amana

Idara yetu ya usimamizi wa mali (asset management) linatoa mikakati ya uwekezaji iliyo wazi, thabiti na yenye nidhamu kwa taasisi, mifuko ya pensheni, kampuni za bima, pamoja na wawekezaji binafsi wenye uwezo mkubwa. Tunaunda mifuko ya uwekezaji inayopunguza vihatarishi na kukuza faida, kwa kuzingatia tafiti makini na ufuatiliaji wa uwazi wa hali ya juu.

Kabla uwekezaji haujafanyika, mikakati huandaliwa kulingana na malengo ya mteja, mahitaji ya ukwasi (liquidity), na kiwango chake cha kustahimili vihatarishi , huku likiungwa mkono na ufuatiliaji wa wakati halisi na tathmini endelevu ya utendaji.

Huduma zetu:

  • 1. Upangaji wa kimkakati wa mgawanyo wa amana na usanifu wa mifuko ya uwekezaji
  • 2. Uwekezaji katika dhamana za mapato ya kudumu, hisa, pamoja na uwekezaji mbadala
  • 3. Uchambuzi wa vihatarishi na utoaji wa taarifa zake
  • 4. Mikakati maalum ya uwekezaji inayobuniwa kulingana na mahitaji ya taasisi
  • 5. Ufuatiliaji endelevu wa utendaji na tathmini za mara kwa mara

Features

Through weakness of will which is the same as saying through shrinking from to and pain cases are perfectly simple and easy to distinguish in a free hour.

Welcome Bonus

Holds these matters principles selection right some rejects.

Accelerated Rewards

Business will frequently occur that pleasure have to be repudiated.

Fuel Surcharge Waiver

The wise man therefore always holds these principle of selection.

Low Interest Rates

Holds these matters principles selection right some rejects.

Cashback Offers

Business will frequently occur that pleasure have to be repudiated.

24/7 Support

The wise man therefore always holds these principle of selection.

Exciting Offers for You

Toil and pain cases are perfectly simple and easy to distinguish a free hour.

Medical

Expire On: 25th Oct’24

Get 10% cashback on trust care medical.

Restaurant

Expire On: 31st Oct’24

Get 15% discount on classic cuisine restaurant.

  • Eligibility to Apply

    To apply for a Credit Card,
    • You will need to be minimum 18 years of age
    • For salary person net annual income of Rs 4.5 lakh or more
    • Consider a credit score between 750 and 900 to be adequate for a Credit Card.
    • Location is also another factor
    Check Eligibility
  • Fees & Charges

    To apply for a Credit Card,
    • You will need to be minimum 18 years of age
    • For salary person net annual income of Rs 4.5 lakh or more
    • Consider a credit score between 750 and 900 to be adequate for a Credit Card.
    • Location is also another factor
    Check Eligibility